Mkwezi1987
Member
- Nov 12, 2017
- 5
- 12
Unataka kulima halafu unachagua jembe!!Naitwa F mwenye umri 36, dini mkristo, kazi nimejiajiri, mrefu kiasi.
Mwenye utayariau nicheck aje tuyajenge pm.+255 786 295 976
- Natafuta mke wakuoa mwenye sifa hizi;
- Umri - 33-38
- Dini- Mkristu
- Elimu - Kidato cha sita na kuendelea.
- Mtoto - Akiwa naye siyo mbaya.
- Kabila - Lolote.
- Urefu- 5.6".
- Muonekano - Awe wa kati.
- Kazi - Yeyote ili mradi mkono uingie kinywani.
- Awe tayari kupima HIV.
- Awe na hofu ya Mungu (akiwa TAG siyo mbaya).
Vigezo n vingi mno[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko kanisani kwenu hujapata hata mmoja!
Mi Nna 35Mim natafuta mke, kigezo ni kimoja tu;
[emoji117] Awe na umri kati ya miaka 23-27 (HIV negative)
Naitwa F mwenye umri 36, dini mkristo, kazi nimejiajiri, mrefu kiasi.
Mwenye utayariau nicheck aje tuyajenge pm.+255 786 295 976
- Natafuta mke wakuoa mwenye sifa hizi;
- Umri - 33-38
- Dini- Mkristu
- Elimu - Kidato cha sita na kuendelea.
- Mtoto - Akiwa naye siyo mbaya.
- Kabila - Lolote.
- Urefu- 5.6".
- Muonekano - Awe wa kati.
- Kazi - Yeyote ili mradi mkono uingie kinywani.
- Awe tayari kupima HIV.
- Awe na hofu ya Mungu (akiwa TAG siyo mbaya).
Kaka tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi hapa Kaka
Uvivu wa kumuomba Mungu ampe mke mwemaHivi kinachofanya mtu atafute mwenza kwenye mtandao ni nini hasa?