Natafuta mke wa kuoa

Sikutishi hila nakwambia ukweli kwa umri wako uhuu ujaona wanawake kote uko mpaka utafute uku ?

Jiamini bro kama unataka mke mzuri angalia campan yak na pia sehemu zako unazotembelea

Uku wengi id fake aya ukija muoa si maisha yatakuwa fake?
Wanawake wa huku ndio hao hao wa mitaani mkuu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Aah ccy kwani me na shida basi yani mchumba akieleweka panga mahali hukohuko huku anakuja kunibeba na sherehe basi 🀣🀣🀣.
 
Acha umbeya mwanaume mzima unaumbeya hivyoo halafu watu wapuuzi wapuuzi ndio wamejiunga jf mwaka Jana shida tupu hamjielewi mmelaaniwa hiki kizazi Cha huyu bibi mnashida sana
Nataka kufika inbox dada yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…