Natafuta mke wa kuoa

Kwa sifa ulizotaja hasa hili la awe amezaa na umri wa 35 nadhani inbox yako imejaa.
Maana ungepanda mwendokasi wa feri Kimara ukamuambia dereva atoe hili tangazo, walah ungepatia mule mule mwendokasini.
Ni kweli ndo maana kukawa na JF pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…