Natafuta mke wa kuoa

Mmmmmh
 
Ahsante
 
Hautendi wema Ili ulipwe huo si wema ila unafki..... mtoto wako wa kumzaa aweza kukugeuka pia mkuu....punguza ubinafsi.....duniani hatuishi daima.Rainisha moyo
Maombi na msaada wa Mungu unahitajika
 
Kwa sifa ulizotaja hasa hili la awe amezaa na umri wa 35 nadhani inbox yako imejaa.
Maana ungepanda mwendokasi wa feri Kimara ukamuambia dereva atoe hili tangazo, walah ungepatia mule mule mwendokasini.
Hivi kuna yupo aliwahi kufanya hivi au ni fikra zako tu?[emoji3][emoji3]
 
🤣🤣🤣🤣🤭
 
Mungu akufunulie mema yake
 
S
Umri wangu ni miaka 30, kwa sasa natafuta mke wa kuoa awe na Umri 18 - 35 awe mkristo

Awe amezaa watoto wasiozidi 2oi

Umri wangu ni miaka 30, kwa sasa natafuta mke wa kuoa awe na Umri 18 - 35 awe mkristo

Awe amezaa watoto wasiozidi 2.
Mkuu

Sio kwamba una matatizo kwa ikulu!!!?

Coz hakuna mammalia wa kiume mwenye tabia hizi zako!!

From animal psychology point of view hakuna anaetaka kuoa mwenye mtoto labda kuwe kuna shida mahali katika cycle yako ya life!!!
 
Anakuja nao pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atakavyoona inafaa,

Kwa upande wangu nitapendekeza aje nao maana watoto wake najua ndo kila kitu kwake hapa dunian na watakuwa watoto wetu kwa pamoja.

Mtoto hana hatia siku zote
 
Atakavyoona inafaa,

Kwa upande wangu nitapendekeza aje nao maana watoto wake najua ndo kila kitu kwake hapa dunian na watakuwa watoto wetu kwa pamoja.

Mtoto hana hatia siku zote
Baba yao ataruhusiwa kuja kuwatembelea na kuwaletea mahitaji?🤭🤭🤭
Kama jibu ni ndio nikupe demu wangu ana mtoto mmoja
 
S

Mkuu

Sio kwamba una matatizo kwa ikulu!!!?

Coz hakuna mammalia wa kiume mwenye tabia hizi zako!!

From animal psychology point of view hakuna anaetaka kuoa mwenye mtoto labda kuwe kuna shida mahali katika cycle yako ya life!!!
Fanya utafiti wko vizur binadam tunatofautiana sana ndo maana pia kuna mapadri ambao kilicho kigum kwako wao wamekiweza.

Mungu akatupe upeo zaidi
 
Kwahiyo unataka dick tofauti tofauti? Mhh ila siku hizi mnajitoa fuse duh

Dj shusha ngoma ya Kingwendu - hajatulia tulia huyu demu mapeepe, inabidi apepewe huyu demu mapepe.

No pun intended
 
Baba yao ataruhusiwa kuja kuwatembelea na kuwaletea mahitaji?[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Kama jibu ni ndio nikupe demu wangu ana mtoto mmoja
Baba yao akiwahitaj mama yao atawapeleka, kuchapiwa ni akili tu ya mwanamke hata ufanye nn akiamua kukucheat anaweza

Heshima ndo kitu cha msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…