Natafuta mke wa kuoa

HSE Officer

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2023
Posts
665
Reaction score
892
Miaka yangu ni 37
Naishi mkoa wa Dar
Kazi yangu kwa sasa AFISA WA BANK ( jina kapuni


Miaka kuanzia 25 kuja juu chini ya 25 usije Dm
Awe na mtoto kama huna mtoto usije coz mimi nina watoto
Awe muwazi na mkweli
Mwenye kuheshimu kila mtu
Elimu yoyote
Awe na nia ya kweli kuanza maisha na mimi
Dini yoyote ile kikubwa Awe na mapenz ya dhati kwa sababu nilishawahi kuumizwa na mapenz
 
Ofisa wa benki anashinda mtandaoni jf, kakosa mke hata kwenye wateja wakina mama wa kila aina wanao kuja kukopa benki......wewe sio bure utakua muongo au unamatatizo makubwa kuna kazi huwexi kukosa mke labda uwe muathirika wa HIV na workmate wote wamesha kujua.
 
Ila humu kunahitaj roho ngumu kupost kitu πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Ila humu kunahitaj roho ngumu kupost kitu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
oya hilo jina lako nimecheka kinoma.
dunia haiishi vituko aisee
 
Unatafuta kitombi mwenzako, wenzako wanatafuta mabikira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…