Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
559
Reaction score
149
Natafuta msichana wa Kitanzania mwenye umri wa kati ya miaka 23-29..mkristo...msomi...mzuri wa sura,umbo na tabia na awe tayari kupima VVU. Mwenye sifa hizo please ajitokeze
 
Mtaani kwenu huko hakuna mwenye sifa utakazo?
Inaonyesha wewe domo zege
 
Mimi nina umri wa miaka 29...mkristo...graduate...accountant by profession..handsome...mpenda maendeleo

Nahisi tungeendana ila kuna kikwazo..nina miaka 27..mkristo..accountant pia..nina tabia nzuri,nina upendo, mvumilivu, mpenda maendeleo na ninavutia..ila nina mtoto!..

Kila la kheri mkuu!..Mshirikishe Mungu katika hili suala akuongoze vizuri upate mke mwema!
 
Can't you guys negotiate it? Lol
 
Back
Top Bottom