Mzalendo wa ukweli
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 559
- 149
Natafuta msichana wa Kitanzania mwenye umri wa kati ya miaka 23-29..mkristo...msomi...mzuri wa sura,umbo na tabia na awe tayari kupima VVU. Mwenye sifa hizo please ajitokeze
Wewe sifa zako ziko wapi?
Mimi nina umri wa miaka 29...mkristo...graduate...accountant by profession..handsome...mpenda maendeleo
Mimi nina umri wa miaka 29...mkristo...graduate...accountant by profession..handsome...mpenda maendeleo
Nahisi tungeendana ila kuna kikwazo..nina miaka 27..mkristo..accountant pia..nina tabia nzuri,nina upendo, mvumilivu, mpenda maendeleo na ninavutia..ila nina mtoto!..
Kila la kheri mkuu!..Mshirikishe Mungu katika hili suala akuongoze vizuri upate mke mwema!
Mimi nina umri wa miaka 29...mkristo...graduate...accountant by profession..handsome...mpenda maendeleo
Can't you guys negotiate it? Lol
Ooowkey... . mimi nna 25,mzuri wa sura na umbo, dini unayotaka ila sijasoma.
Mmh!..no comment mumie!..subiri aje tumsikie🙂)))
Natafuta msichana wa Kitanzania mwenye umri wa kati ya miaka 23-29..mkristo...msomi...mzuri wa sura,umbo na tabia na awe tayari kupima VVU. Mwenye sifa hizo please ajitokeze
Nenda pale Corner Bar wapo wengi tu wa kuoa
You can't be serious!!!!!!!
Ok...una maana gani kusema hujasoma? Elimu yako iko vp kwani? Just express yourself.
Sikuweza kuendelea zaidi ya form 4!!
Ila nikipata nafasi ya kuendelea ntaitumia ipasavyo.
acha kumweka mkaka wa watu majaribuni....!
Najijua ni handsome....
presha tupu!aliyekuambia wanawake wanataka handsome nani,?wengine si handsome ila wanafolenika