Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,921 Reaction score 4,240 Feb 4, 2012 #22 Fidel80 said: Mtaani kwenu huko hakuna mwenye sifa utakazo? Inaonyesha wewe domo zege Click to expand... Hivi Unadhani crew ya JF walikuwa wajinga kuweka hii jukwaa la love connect?Nyie ndio waharibifu wakubwa na mnapoteza maana ya hili jukwaa na kushusha hadhi ya JF kwa ujumla wakati lilikuwa na maana nzuri tu.Badilikeni!!sio kukashifu kila kitu.
Fidel80 said: Mtaani kwenu huko hakuna mwenye sifa utakazo? Inaonyesha wewe domo zege Click to expand... Hivi Unadhani crew ya JF walikuwa wajinga kuweka hii jukwaa la love connect?Nyie ndio waharibifu wakubwa na mnapoteza maana ya hili jukwaa na kushusha hadhi ya JF kwa ujumla wakati lilikuwa na maana nzuri tu.Badilikeni!!sio kukashifu kila kitu.