Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Atwoki

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
706
Reaction score
383
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29
Naishi Morogoro
Dini mkristo
Kazi ni mwalimu

Mke awe na sifa hizi;
Mrefu kiasi
Awe na kazi sio golikipa
Miaka 20_27
Awe na tabia njema

Ukiwa na sifa hizo please nicheki PM
 
Mwanaume anayehitaji mwanamke mwenye kazi ni muoga wa maisha..!

Hela za mke ni zake, wewe hazikuhusu usizipigie mahesabu mpaka atake yeye.
Mkuu c tunasaidiana maisha
 
Unatafuta Mke au Mchumba? Akiitwa Mke maana yake keshaolewa huyo
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29
Naishi Morogoro
Dini mkristo
Kazi ni mwalimu

Mke awe na sifa hizi;
Mrefu kiasi
Awe na kazi sio golikipa
Miaka 20_27
Awe na tabia njema

Ukiwa na sifa hizo please nicheki PM
Kuanzia umezaliwa, umesoma primary, secondary, chuo, kazini, kanisani, mitaani unapoishi, kwenye daladala, sokoni, nk kote huko hujawahi kukutana na mwanamke mwenye hizo sifa? Au una tatizo lingine?
 
Back
Top Bottom