Natafuta Mke wa kuoa



Mkuu kuwa mkweli

Why hujapata mtu humu tangu 2022?
Mnashia kushindwana kwenye jambo gani hasa? Mimi naamini ukifunguka shida ilipo utapata unayemuhitaji
 
Vijana wa 30s wamevamia kwa fujo jf kutafuta wake wa kuoa.......
 
Kaka ukifanikiwa niambie na mimi niandae uzi wangu wa kutafuta mke naona umri unazidi kwenda tu nina miaka 29 now.
 
Vipi aliyezaa mtoto m1? Anafaa pia?
Piga simu haraka uolewe. Mtoto mmoja kitu gani! Tutampaleka kwa bibi Namtumbo. Nikiwa kama kaka yako ninapendekezela ukaanze maisha mapya ya ndoa na huyu kijana. Kama ni raha za dunia zote umezipitia. Hivyo hakuna jipya. Nenda ukatambulike sasa kama Mrs. True Man11
Muhimu tu ukubali kuokoka.
 
Mkuu wasichana wamejaa huko uliko hujampata hata moja? Basi Una shida sana
 
Nakubali kaka angu, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Isije tu ikawa unataka umpe huyu kijana wa watu yule shosti yako SweetyCandy! Watashindwana kabla hata ya kuonana ana kwa ana.
😹😹 Ulijuaje?
Nilitaka nimpe huyo huyo si mmeachana..!!
Sitaki da Mau awe mpweke kichaa kitaongezeka..!!
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…