Natafuta mke wa kuoa.

Rwabukambara

Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
41
Reaction score
19
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kabila langu ni mchagga natafuta mwanamke wa kuoa awe kati ya miaka 22-25 awe na elimu ya chuo, awe mkisto anayemjua Mungu.Kwa yoyote yule ambaye anadhani anaweza kuwa Mke bora anitumie Private Message nitajibu haraka sana. Kabila lolote isipokuwa WAHAYA.Karibuni sana tuungane pamoja tuanze familia.
 
Mimi muhaya kwa nini hunitaki?
 
Mkuu weka wasifu wako wazi zaidi...
 
Humu huwezi pata mke ndugu yangu, wengine humu sio binadamu wa kawaida ninasoma jinsi wanavyochangia mada baadhi yao wanatisha sana, utakuja owa jini hivi hivi. Muombe Mungu na hudhuria ibada huko utampata wa uhakika zaidi lakini wa JF sikushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…