Mimi siyo mwanamke ,maadamu umelete hoja jamvini ,naomba nikupe ushauri huu, ni muhimu sana....hakuna mke mzuri atakaye kufaa,kukusikiliza,kukushauri ,mwenye sifa zote,mjenzi wa nyumba yako,mkarimu,mwema mithili ya ester tunayemsikia ndani ya biblia kama huyu....mwombe mungu ndani ya miezi 6 tu kuhusu hamu yako juu ya kuwa na mke uone kama hatakujibu.ikiwezekanatoa sadaka ya shukurani juu ya hili ombi , bahati nzuri una kazi kwa hiyo hata sadaka hii haikushindi...hakika kwa imani utakuja niambia juu ya huu ushauri...mungu wetu ni mwaaminifu kuliko unavyofikiria na kuwaza,kitendo cha kutuandikia hapa ni mpango wa mungu... Chukua hatua uone.ahsante