pole kwa yaliyokukuta mpendwa wetu, ila mwombe sana Mungu atakupa yule aliyetaraji la moyo wako na sio mtu wa kukulelea mtoto inabidi uonane nasi mm na Mentor tukushauri vizuri namna ya kuishi naona kisaikolojia umeathirika njoo ofisini kwa Mentor nitakushauri zaidi uisijali yuko wa kwako ila uwe makini kwa sasa na uwe na subira na uvumilivu katika kipindi hicho kigumu unachopitia sasa
take care
KAKAMPOLE Mlee mwanao mwenyewe mpaka akue, mbona sisi mkitutelekeza tunalea hadi wa nne, usiendekeze mambo ya mapenzi subiri kwanza machungu yaishe. Halafu tafuta mwanamke mnayefahamiana, kwa nini unataka wanawake wasiokujua? Inaonekana UNA MATUKIO.