Natafuta mke wa kuoa.

Mashono

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
101
Reaction score
23
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, Mimi ni mwalimu natafuta mke wa kuoa nina imani hata humu ndani anaweza patikana kwani hatukuainishiwa sehemu ya kumpata mke aliye sahii. Pia mimi ni muisilamu.
Aliyetayari bac tuwasiliane mambo mengine tutaelewana kwenye mawasiliano yetu. Awe na umri wa 20-27.
Tuwasiliane kupitia mashonoiddi@gmail.com.

HAPPY MOTHER DAY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…