Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Mlanje

Senior Member
Joined
May 16, 2013
Posts
141
Reaction score
77
Habari zenu marafiki mimi ni mwanaume nina miaka 28 elimu yangu ni degree ya computer natafuta msichana mwenye vigezo hivi awe mke wangu Mungu akipenda
1.Awe ameokoka(Mkristo)
2.Mwenye umri wa miaka 18-24
3.Mweupe mfupi wa 130-150 cm
4.Asiwe mwongo
Kwa aliyetayari ani PM please hivi ni vigezo vyangu naomba uzingatie pia kama unatania usinitafute
 
Back
Top Bottom