kutwamara3
Senior Member
- Jul 16, 2013
- 170
- 27
Wakuu habari zenu mimi ni kjana ambaye bado nipo masomoni chuo lakini nimedhamiria kuoa. Age iwe 18+ wala kabila sio tatizo kwangu ila huyo mke anatakiwa awe muislam.Mengine tutazungumza private na ambaye atakuwa tayari.Kwa yule aliye tayari ani PM