Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Mlanje

Senior Member
Joined
May 16, 2013
Posts
141
Reaction score
77
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29,Mkristo,Elimu chuo kikuuu natafuta msichana ambaye tukielewana anaweza kuwa mke wangu kipenzi.Vigezo Mkristo,miaka 20-26,mweupe,mfupi na elimu kuanzia kidato cha sita aliyetayari aniPM kwa kunipa contacts zake
 
Back
Top Bottom