M Mlanje Senior Member Joined May 16, 2013 Posts 141 Reaction score 77 Jul 29, 2013 #1 Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29,Mkristo,Elimu chuo kikuuu natafuta msichana ambaye tukielewana anaweza kuwa mke wangu kipenzi.Vigezo Mkristo,miaka 20-26,mweupe,mfupi na elimu kuanzia kidato cha sita aliyetayari aniPM kwa kunipa contacts zake
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29,Mkristo,Elimu chuo kikuuu natafuta msichana ambaye tukielewana anaweza kuwa mke wangu kipenzi.Vigezo Mkristo,miaka 20-26,mweupe,mfupi na elimu kuanzia kidato cha sita aliyetayari aniPM kwa kunipa contacts zake