Natafuta mke wa kuoa

nsuri nkuu

Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
53
Reaction score
4
Mimi ni kijana mzuri tena rijali na mwenye sifa ya kuwa mume na kuwa baba wa familia.Natafuta bint mweye sifa ya kuwa Mke na kuwa mama watoto wetu pindi tutakapooana.sifa zake awe mwenye hofu ya Mungu,asiwe anakunywa pombe,awe na elimu kuanzia diploma,asiwe anpenda sana misele,Kabila lolote mwenye sifa hizo.anitafute.
 
Kumbe unatafuta mchumba;rekebisha heading na kila la kheri!!!
 
mmmh! Urefu wa chini ni upi mkuu?
 
Uref wa chin na juu hebu fafanua kijana'
 
Mwenye kuuliza swali hakueleza urefu upi anaotaka niweke,urefu wa mashine au urefu wa kimo?
 
Jaman kuwen serious wakuu nahitaji hilo la wife sana,mtu ajitokeze bac
 

unaposema wewe ni mzuri una maana gani? uzuri ulio nao wa aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…