wirewizard
Member
- Feb 14, 2014
- 75
- 56
Ngoja niwahi pm kusije kukajaa[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Habari wanaJf.
Natafuta mke wa kuowa ambaye ni Mchamungu hata kama akiwa mgumba ni sawa tu. Nina watoto 4 (age yao ni 6yrs to 13). Mimi nina miaka 43. Mimi ni muislam wa vitendo na ninaishi Dar es Salaam
Ningependa my wife to be awe ana umri kati ya miaka 30 to 40.
Napenda mtu awe Serious, kabla ya kuni-PM.
Karibuni sana ndugu zangu katika Imani na Upendo wa kweli wa Mungu.
Asanteni.
Mama watoto wapo wapi??Habari wanaJf.
Natafuta mke wa kuowa ambaye ni Mchamungu hata kama akiwa mgumba ni sawa tu. Nina watoto 4 (age yao ni 6yrs to 13). Mimi nina miaka 43. Mimi ni muislam wa vitendo na ninaishi Dar es Salaam
Ningependa my wife to be awe ana umri kati ya miaka 30 to 40.
Napenda mtu awe Serious, kabla ya kuni-PM.
Karibuni sana ndugu zangu katika Imani na Upendo wa kweli wa Mungu.
Asanteni.
Hapo kuna mawili. Aidha wameachana! Maana dini inaruhusu kutoa talaka na hivyo kuoa mke mwingine. Au amefariki. Sawa bibie Miss Natafuta?Mama watoto wapo wapi??
kuowa au kuoaHabari wanaJf.
Natafuta mke wa kuowa ambaye ni Mchamungu hata kama akiwa mgumba ni sawa tu. Nina watoto 4 (age yao ni 6yrs to 13). Mimi nina miaka 43. Mimi ni muislam wa vitendo na ninaishi Dar es Salaam
Ningependa my wife to be awe ana umri kati ya miaka 30 to 40.
Napenda mtu awe Serious, kabla ya kuni-PM.
Karibuni sana ndugu zangu katika Imani na Upendo wa kweli wa Mungu.
Asanteni.
[emoji23][emoji23][emoji23] umenishinda tabia [emoji119][emoji1787]kuowa au kuoa
Sawa mkuu ngoja tudange kwanzaHapo kuna mawili. Aidha wameachana! Maana dini inaruhusu kutoa talaka na hivyo kuoa mke mwingine. Au amefariki. Sawa bibie Miss Natafuta?
Kila la heri Sheikh! Inshallah utapata tu!!!
Utapata usijali mkuuInshallah shukurani ndg.. ALLAH akinijalia.. Nitapata tu.... Inna LLAH
Maswabirin.. MUNGU yupo pamoja ma wenye kusubiri...