Natafuta mke wa maisha

Natafuta mke wa maisha

gabuu

Member
Joined
Mar 26, 2020
Posts
25
Reaction score
31
Mimi ni kijjana wa umri wa miaka 29 nina elimu ya stashada ya nyuki natafuta mke wa kufunga nae ndoa

SIFA ZANGU

Mrefu kiasi

Umbo la wastani

Mweusi

Mkristo

SIFA ZA NIMTAKAYE

Umri 20-27

Dini awe mkristo

Umbo la wastani

Elimu kuanzia form 4 nakuendelea

NB: Asiwe mlevi wa kilevi cha aina yoyoye

Sent from my Infinix X682B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom