Natafuta mke wa ndoa mwenye tabia nzuri mcheshi na mwaminifu asiyekuwa na majivuno wala kuweka pesa mbele matumizi ya kawaida ntafute kwa 0765979932 au ntumie ujumbe
Ni PM....., mie nimezaliwa na kukulia ktk maisha ya kawaida sana. Sijawahi hata kuhesabu laki 5 nini kuishika mkononi..!., hivyo kwangu oesa haitokuja kuwa kipaumbele. Cha muhimu pesa ya kula na mahitaji mengine muhimu isikosekane.