Natafuta mke wa nne (04) awe na sifa kuu saba (07)

Mtafiti Madini

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
101
Reaction score
35
Habari wana jukwaa. Tayari nina wake watatu (03), wote ni wake wema na wana sifa za msingi kuwa wake bora.

Sasa natafuta mke wa nne (04). Huyu namuoa kama sehemu ya kusaidia watu wenye uhitaji maalum kwenye jamii. Muhusika awe na sifa zifuatazo;-

1. Awe mjane (sio aliyepewa talaka), 2. Anaweza kuwa na watoto au asiwe na watoto (Ikiwa ana watoto nitamchukua na watoto wake 3. Awe na tabia njema 4. Awe muislam 5. Asiwe na historia yenye utata, 6. Asiwe na tamaa zisizo na msingi 7. Awe anahitaji kuolewa na yuko tayari kuwa mtiifu kwa mwanaume.

N.B - Sifa zote hapo juu zitakuwa 'examined intensively!'

Aliyepo tayari anicheki PM.
 
Back
Top Bottom