Natafuta mke wa pili, mwanamke aliye tayari anifuate PM

Natafuta mke wa pili, mwanamke aliye tayari anifuate PM

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,415
Reaction score
3,213
Asalaam Aleykum!
Wakuu sipendi kuwachosha maana sisi watu wazima hatunaga habari za nikilala nakuota au nikinywa maji nakuona kwenye kikombe.
Jamani kwakifupi ujana wangu nimeutumia vizuri kwanini sikuwa mtu wa kubadilisha wanawake,nilikuwa na uhusiano lakini sikuwa najihusisha na maswala ya ngono mpaka nilipooa.
Tatizo langu kwasasa ni pale mke wangu wanapojifungua inakuwa ngumu kuvumilia mpaka apone.Mtoto wa kwanza nilivumilia lakini nilipata shida sana.Sasa Hivi tena mke wangu anatarajia kujifungua na ni mda sikuwa namwingilia kutokana na yeye kutojisikia kwani mimba ina miezi nane.
Kwahiyo kimahesabu itanibidi nikae miezi minne ndio nianze tena kumla mzigo.Hiyi imekuwa adhabu maana mimi sinywi pombe,sivuti sigara wala kula mirungi so nimeamua kuongeza mke ili na mimi ni enyoy maana tendo la ndoa mimi ndio starehe yangu.
Sifa za huyo mwanamke ni zifuatazo:
1.Awe mweupe aliyejaaliwa makalio au yawe ya wastani
2.Umri miaka 18-22
3.Awe bikra sehemu zote mbili
4.Mwenye umri kuanzia miaka 25-35 awe ana kazi au biashara,mweupe na aliyejaaliwa makalio.
NB:Msichana au mwanamke mgumba atapewa kipaumbele
 
Mods naombeni uzi wangu huu udumu ili nipate msichana wa kumsitiri maana wapo wengi sana wanaohitaji kustiriwa
 
aliye na biashara yake si lazima awe bikra hapo nimekuelewa mkuu

miaka 18-22 bikra muhimu (hapa pagumu mkuu )
 
Back
Top Bottom