Natafuta mke wa pili

Natafuta mke wa pili

HealthTZ

Member
Joined
Jan 30, 2025
Posts
13
Reaction score
10
Nahitaji kuoa mke wa pili awe na sifa zifuatazo:-
  • Dini yoyote ila watoto wangu watakuwa wakristo
  • Umri kati ya miaka 25 hadi 35
  • Awe mwajiriwa.
  • Awe tayari kuwa mke.
  • Akiwa na mtoto mmoja tayari hakuna shida.
  • Asiwe mgomvi wala mchokozi wala kupenda ugomvi.
  • Asiwe mtu wa kuchukua mikopo pasipo makubaliano.
  • Awe mkazi wa Arusha
Tanbihi: Nitaenda kwao kujitambulisha na kulipa mahari kwa taratibu za kabila lake tukishakubaliana

Karibu inbox na nikipata nitatoa taarifa hapa
 
Watoto watakuwa wakristo inamaanisha wewe ni mkristu ambaye huruhusiwi kuoa mke wa pili. Sasa hapo mkuu unatafuta mke au hawara permanent utakaemuhalalisha kwa taratibu za kimila
 
Hakuna ushahidi wowote wa kisayansi, kihistoria na kimazingira kwamba Pili aliwahi kuwa na mke.

Unachotaka kufanya ni kutwanga maji kwenye kinu!
 
Nahitaji kuoa mke wa pili awe na sifa zifuatazo:-
  • Dini yoyote ila watoto wangu watakuwa wakristo
  • Umri kati ya miaka 25 hadi 35
  • Awe mwajiriwa.
  • Awe tayari kuwa mke.
  • Akiwa na mtoto mmoja tayari hakuna shida.
  • Asiwe mgomvi wala mchokozi wala kupenda ugomvi.
  • Asiwe mtu wa kuchukua mikopo pasipo makubaliano.
  • Awe mkazi wa Arusha
Tanbihi: Nitaenda kwao kujitambulisha na kulipa mahari kwa taratibu za kabila lake tukishakubaliana

Karibu inbox na nikipata nitatoa taarifa hapa
Kama wa pili anatafutwa JF,
Bila shaka wa kwanza alipatina FB
Nimetumia tu ile cross multiplication msipige mawe wakuu!
 
Back
Top Bottom