Natafuta Mke Wa Tatu

Hapana jamani ila nawasaidia hao wanaoPM,wewe tu mchakamchaka wako jasho linanitoka nikatafute na kibabu cha kipemba cha nini mie

Mie sio mpemba ni ndugu yake Rostam Aziz!, hukuona juu, nimekwambia mie ni CCM damu. Lakini sijali mke atakuwa wa chama kipi, kwa raha zake.
 
huyo zomba kule kwingine wanamwita kimavi... keshachafua sasa anataka kuleta kimavi kipande hii

brace yourself

Aahhhhhh, sifa nzuri hiyo huku kwetu, hata kuna watoto hupewa jina hilo.
 
huyo zomba kule kwingine wanamwita kimavi... keshachafua sasa anataka kuleta kimavi kipande hii

brace yourself

Hahahaha...kamanda naona unataka kumwamisha mtu meza hapa!
 
siamini nnachokisoma hapa,,,wapi finest anisomee!

Usijali honey...babu alijing'ata ulimi kidogo. Mutu ya upendo, mutu ya vitendo. Nakutafutia chakula ya moyo.
 
Hahahaha...kamanda naona unataka kumwamisha mtu meza hapa!
mbona anamwaribia sasa,mwenzie watu washaanza kupm kwenda lima na kucha huko,si unajua kwa watu wengine kuolewa ndio kunaleta heshma,sio namna unavyoweza endesha maisha yako!!!
 
mbona anamwaribia sasa,mwenzie watu washaanza kupm kwenda lima na kucha huko,si unajua kwa watu wengine kuolewa ndio kunaleta heshma,sio namna unavyoweza endesha maisha yako!!!

Hahaha ogopa kulimia kucha...kama unaendesha baiskeli inayoshuka mlima.
 
Mie sio mpemba ni ndugu yake Rostam Aziz!, hukuona juu, nimekwambia mie ni CCM damu. Lakini sijali mke atakuwa wa chama kipi, kwa raha zake.

Mnyamwezi masikini vile naogopa kulima maana sijaona faida za kuwa mkulima Tanzania,ila ulikuwa ugonjwa wangu huo
 
mh ongea babu kimya kibaya,saidia wajukuu huko wanatafutwa kwenda lima pwani huko ohooo

Naomba usini mis-quote, si wajukuu tu hata ma-dada, ma-bibi, si neno, age range yangu nnayohitaji ni pana 14 t0 65, nadhani kuna rika zote hapo, vitotoz, vi-bintiz, vi-dadaz, vi-mamaz na vi-bibiz, yeyote anae ridhika na masharti mie nipo Ok.
 
Atapatikana Inshaallah,usiogope wanaoharibu,si unajua penye penzi hapakosi tenzi.
 
Mi naelewa wewe vzr,,no one to dispute it love
Invizibo kajisahau kaiachia. Na babu kwa vitendo bila kuchelewa. Kamata hiyo hapo. Hapo hana mamlaka ya kuitoa. Ni mali yangu kwa ajili yako wewe, wewe peke yako.

The Following User Says Thank You to WiseLady For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Hapana usi-mislead, sitegemei program za serikali, mashamba yangu kuna kila nyenzo za ukulima wa kisasa kabla ya kilimo kwanza, Nashkuru kuwa na uwezo huo, na haya mashamba ndio yamezalisha nyenzo zote na tunamwagilia na tunafuga samaki kwa wingi na Ng'ombe kidogo kwa ajili ya maziwa kwa matumizi yetu na wahudumu (mashamba yote yana wahudumu). Kwa hiyo ataekuja hatotakiwa kulima, yeye uwepo kwake tu ni muhimu. na akipenda kulima basi alime kwa trekta kwani zipo, lakini sitopenda afanye kazi ngumu ngumu, kwani sipendi Mwanamke Mwenye visuguu mikononi, napenda mke wangu awe na mikono laini saa zote. Hatutegemei mvuwa kwenye kilimo chetu, zikiwepo tunafurahi na kushukuru kwani hakuna mkulima asiependa mvuwa.
 
ukimpata tujulishe tuanzishe sredi la michango.
 
mbona anamwaribia sasa,mwenzie watu washaanza kupm kwenda lima na kucha huko,si unajua kwa watu wengine kuolewa ndio kunaleta heshma,sio namna unavyoweza endesha maisha yako!!!

Haharibu nhuyo anatengeneza, kwani hujasikia hata Merekani na Ulaya wimbi la wanaosilimu limekuja baada ya Septemba 11.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…