Natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo

Natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo

satong

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2016
Posts
260
Reaction score
311
Habari wanajamvi ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.

1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,

2: Awe anajitambua

3: Awe mkristo

4: Awe anajua kupika na msafi

5: umri miaka 20-28

6: Akiwa mjasiriamali ni nzuri zaidi

SIFA ZANGU

1: Elimu Degree

2: umri 30

3: Nimejiriwa

4:Christian

Karibu PM kwa aliyetayari .

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kipengere cha usafi na kupika japo in muhimu sana kwa mwanamke sidhani kama utapata! Anyway Mungu akutangulie! Wanawake wengi wanajua usafi wa usoni tu! Tegemea kulala bila kuoga mpaka umpe pressure
 
Enzi hizi bado unategemea kutengewa maji ya kuoga na mkeo?
Siku hizi self service labda mkeo aamue kukubonyezea switch ya maji moto na afungulie koki
Hicho kipengere cha usafi na kupika japo in muhimu sana kwa mwanamke sidhani kama utapata! Anyway Mungu akutangulie! Wanawake wengi wanajua usafi wa usoni tu! Tegemea kulala bila kuoga mpaka umpe pressure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri mkuu.
Mungu akupe hitaji la moyo wako uje uonje utamu wa kuogeshana
 
Back
Top Bottom