ungeangalia hapo kanisani, ukikosa hapo mara moja moja badiligi parokia. Unaamua tu unatembelea tofauti na parokia yako. Nyumba ya ibada hafukuzwi mtu. Utapata.
sawa boss
Hicho kipengere cha usafi na kupika japo in muhimu sana kwa mwanamke sidhani kama utapata! Anyway Mungu akutangulie! Wanawake wengi wanajua usafi wa usoni tu! Tegemea kulala bila kuoga mpaka umpe pressure