Natafuta mke wakuoa

Joined
Nov 30, 2017
Posts
2
Reaction score
3
Habari.

Umri wangu ni miaka37 natafuta mwanamke wakuoa. Kazi nimejiajiri.
Mwanamke ni mtakaye.

Awe na umri kuanzia 28 nakuendelea.

Awe tayari kuishi popote,Asiwe mrefu Sana,,mwenye upendo wakweli,Dini yeyote.

Karibu sana iwapo upo serious tu maana muda ukuta.
 
Kuishi popote ndio wapi sasa??πŸ™‚
 
Sheik Bombo kasema umri wa kuoa mwisho 35

we mrudie MUNGU kwa sasa tu πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kupitia andiko lako hilo, nawasilisha ombi kwa niaba ya huyu jamaa yangu #Oruseguni hayupo hapa JF yupo X tu.

Kwa niaba yake pia anatafuta mke same like your post hapo juu.


Tofauti ni huyo mwanamke awe mrefu, asiye na papala.

Aliye tayari ingia DM nikukutanishe naye.
 
Anzisha uzi wako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…