Natafuta mke wakuoa

HARVESTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
287
Reaction score
243
Ninatafuta mke wa kuoa umri wangu miaka 32, dini mkristo, elimu yangu shahada ya uzamili, nina kazi, urefu 172 cm, rangi maji ya kunde, ninaishi Dar es salaam. Sifa za mwanamke umri 25 -32, dini mkisto (mlokole ni vema zaidi), Elimu diploma nakuendelea, awe na kazi ya kuajiriwa, awe presentable, urefu 160 nakuendelea, rangi maji ya kunde au mweupe, asiwe mwembamba,kabila lolote,awe mkarimu email yangu ombenichristopher@gmail.com
 

urefu 160 na kuendelea......asiwe mwembamba.....haya watakuja.....endelea kusubiri!!!!!
 

Dah..! Nimekidhi vigezo karibia vyote ila nimekuzidi urefu kwa 3 cm.! Hapo vipi?
 
hapo asiwe mwembamba,unataka awe na kgs ngapi?
 
mimi nimekidhi viwango vyote na kupitiliza......shida yangu napenda sana Savanna na Dompo.....sasa itakuwaje.....?
 
hapa utampata vip kama mkilingana elimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…