yani huna hata kitu kidogo kinachokupendeza ?Mm sina ubaguzi...ukichagua sn ndio unapata tunda bovu...unatakiwa upate mtu ambae mawazo yenu yataendana na kuvumiliana
Enhe sasa unaongea mkuu...Mm napenda mtu mcheshi tu...
nitafute utacheka hadi uzimieMm napenda mtu mcheshi tu...
ungekua kua na mm ungefurahi sana mm nacheka mpk unakereka!!Mm napenda mtu mcheshi tu...
Nimepata msisimko sana, nahisi unanifaa kuwa wangu, alafu yule jamaa vipi mmesharudia mamyungekua kua na mm ungefurahi sana mm nacheka mpk unakereka!!
Huyo mtoa post mwenyewe usishangae ni mume wa mtu.Duh!!!.....JF bhana,hivi wake za watu huwa mnakuja kwenye uzi kama huu kwa lengo gani?[emoji17][emoji17][emoji17]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mtoa post mwenyewe usishangae ni mume wa mtu.
Ngoma droo.
[emoji23] [emoji23] [emoji2] umechelewaaz!!Nimepata msisimko sana, nahisi unanifaa kuwa wangu, alafu yule jamaa vipi mmesharudia mamy