Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
sijawai kuonaWw hunitaki tatizo hat pm zangu hujib
umri wako ni miaka mingapi? kazi yako? dini yako?Sichagui dini kabila wala rangi...umri kuanzia miaka 18 mpk 35
si unasema huna bahati? aya kazi kwako sasaInterview hii sasa?!
Unataka kunipa eeh [emoji4] [emoji4] [emoji4]bado hujapata tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka mke hutaki?Interview hii sasa?!
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Kuoa bila kuonja hamna cku hz
We si una mke n watoto kabisaSichagui dini kabila wala rangi...umri kuanzia miaka 18 mpk 35