Natafuta mke

NIMETAFUTA HADI NIMECHOKA NA NYIE WANAUME HUKU HAPO SIRIAS MARA MSEME MPO UK,SIJUI USA .MIMI NATAKA WA HAPAHAPA BONGO FIMBO YA MBALI SITAKI
Nyinyi wanawake ndiyo mnakuwa wasumbufu, hamko very serious. Naamini kuwa mnaweka JOKES nyingi kwenye mambo ya msingi hadi mtu anakata tamaa.
 
No longer utapata mke brother
Maana UJUMBE wako umesimama imara, hakuna mbwembwe za Vyeti wala PhD.
Maana unapotaja vitu ulivyonavyo ujue hautakuwa umeoa wewe Bali vitu na kazi yako ndo inakuwa imemleta huyo.
 
Kweli kabisa ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…