Tswana14
Senior Member
- Apr 13, 2017
- 167
- 73
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa serikalini natafuta msichana wa kuishi nae kama mke wangu awe na umri kuanzia miaka 22 mpaka 28 elimu kidato cha nne kuendelea dini mkristo aliye tayari tuwasiliane pm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app