Tswana14
Senior Member
- Apr 13, 2017
- 167
- 73
mimi ni mwanaume wa miaka 31 nipo dar nimeajiriwa natafuta msichana wa kuoa nimechoka kuwa mpweke nataka family awe na umri kuanzia miaka 23 kuendelea asiwe ametumia mkorogo elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea atapewa kipaumbele zaidi aliye interested tuwasiliane pm plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app