Natafuta mke

Natafuta mke

novavilla8

Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
24
Reaction score
13
Naomba kuwasilisha hoja yangu kwenu,

Natafuta mwanamke ambae baadae Mungu akipenda awe mke wangu, mimi umri wangu ni miaka 30.

Naishi Dar es Salaam, ni muajiriwa wa private sector, mwanamke ninaemtafuta awe na umri kuanzia miaka 25 mpaka 28 kwa aliekuwa serious anicheki pm.

For me nipo serious na hii issue so matusi na kejeli naomba yapite kushoto.
 
Back
Top Bottom