Natafuta mke

namba10

New Member
Joined
Feb 6, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Wapendwa mabib na mabwana
Mim ni mgeni humu na nichukue nafasi hii kuleta haja yangu mbele zenu wana jukwaa.
Nafta bint atakae kuwa mke:
Mitaan warembo ni wengi sana tena wakali tatizo hawatabiriki na wengine hawajielewi sasa basi nimechoka kuchakua kama kuku. Hivo basi nahitaji mdada mrembo anaeijielewa,
kujiheshimu na kujiamin na alie tayari kuwa mke
Umri uzidi 25 na usipungue 20
Akiwa anafanyakazi/ biashara hata kama ansoma chuo
Akiwa mkristo itapendeza zaid
Awe anaishi dsm
Sichagui kabila
Rangi yoyote mradi iwe natural
Sifa zangu
Umri 29
Nimeajiriwa
Naishi dsm
Atakae vutiwa karub pm
 
Umri uzidi 25 na usipungue 20.

Anyway wahitaji huenda wakakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…