Natafuta mke

Nipo tayari sifa zote ninazo no 0623305695 nitumie laki moja kwanza nipeleke kama barua kwa wazazi. I love you mpenzi
 
Mkuu wapo hata kuanzia 20 wanaweza kukubali. Toa umri utapata haraka
 
Na amini ni sehemu sahihi ya kupata mke alie kuwa bora
Hongereni sana na kazaneni mi humu ndani nikisoma threads za watu huwa nabakia nimefunga mdomo nikiamini wanawake hawapogo serious ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…