Natafuta mwanamke ambae Mungu akipenda aje kua mke wangu
Sifa
1.Awe na uhitaji wa kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa
2.umri 20-27yrs
3.Asiwe na watoto
4.Awe mkristo
Sifa zangu
1.Mkristo
2.Nina kipato cha kawaida
3.umri 28yrs
Mengine tutaelezana pm