Natafuta mke

Natafuta mke

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Mi ni mwanaume Wa miaka 30 naishi singida,natafuta make serious,mwenye sifa zifuatazo
1.umri miaka 20--28
2.mwenye hofu ya mungu
3.elimu angalau kidato cha NNE
4 mkiristo
5. Asiwe mweusi.
Km upo tyr nipm
 
Mi ni mwanaume Wa miaka 30 naishi singida,natafuta make serious,mwenye sifa zifuatazo
1.umri miaka 20--28
2.mwenye hofu ya mungu
3.elimu angalau kidato cha NNE
4 mkiristo
5. Asiwe mweusi.
Km upon serious km Mimi naomba Union my no 0687702499

Mkuu unatafuta mke au unatafuta make? [emoji31][emoji31][emoji31]
 
Hao walio kuzunguka wote huwaoni, unatafuta maandishi humu jf, ama Kweli kuna watu na viatu!
 
Back
Top Bottom