mnyamwenga
Member
- Jun 27, 2018
- 11
- 4
Hahahaha nyie watu mnavituko kwell , sasa mtu akilipa hiyo ada ndo inakua na mahali kabisa imejuishwa hapo hapo maana c kwa kias hicho aiseeKampuni ya Genda Ubwere Holdings Ltd inapokea tenda ya kukutafutia mwenza.
Utataja sifa za mwenza unayemtaka kisha tutaangalia kwenye kanzidata yetu tukikosa utatuonyesha chaguo lako.
Malipo ni 567,230=Tsh mpaka 6,345,750=Tsh kutegemea na mwenza umtakaye.
Zingatia
-Kampuni haideal na wanawake wa bongo muvi au waliowahi kuonekana kwenye tv.
-Surveillance itafanyika wiki mbili na gharama zitakua juu yako.
-Utatanguliza malipo ya 60% au utalipa 100% ya gharama utakazotajiwa.
-Huduma hii ni kwa ajili ya kupata mke wa ndoa tu.
Wazia kwamba huo muda wewe utakua unafanya mambo yako huku ukipatiwa updates tu.Hahahaha nyie watu mnavituko kwell , sasa mtu akilipa hiyo ada ndo inakua na mahali kabisa imejuishwa hapo hapo maana c kwa kias hicho aisee
Umekuwa mzungu wa kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?Habari zenu comrades.. Mimi ni kijana mwenye miaka 25 ni mwajiliwa serikalini,natafuta mke awe na miaka kuanzia 18 hadi 28 ,nipo serious mwanye kuhitaje naomba aje PM sichagui Dini
wala kabila
Emanule macrowUmekuwa mzungu wa kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?
Yaani unapenda u-ben10 kwenye maisha halisi ya ndoa?
Mzidi umri mkeo kuanzia miaka10 hadi ishirini, hapo maisha yenu yataenda pamoja hadi uzeeni.
Unapooa mwanamke anakuzidi, let say miaka3 ama zaidi, kama bandiko lako, inamaana mtakapofikisha miaka20 ya ndoa, mkeo atakuwa tayari alishaingia kwenye "menopause" na atakuwa 'hakuhitaji' tena.
Sasa kwa umri wako huo wa miaka 45 damu bado inachemka utaingia mtaani kusaka 'jiko'?
Tunavyoshauri kumzidi miaka mingi mkeo, ili atakapofikia kuchoka kibaiolojia, nawe utakuwa tayari kambabu ulishapinda mgongo, unatembelea mkongojo'uko na hautaki tena "mambo'ayo", mnabaki tu kumalizia maisha yenu kirafiki bila mgogoro.