Bedui la bongo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 297
- 306
In sha Allah Madame mungu ataleta wepesiInshaallah, kwa uwezo wa Allah akupe hitaji la moyo wako
Aaamini Mungu atajalia
Acha ubaguzi "et hata akiwa albino";ww ungegeneralize bilo huo ubaguzi.Assalam alaykum wana JF naitwa Nasry natokea Morogoro natafuta mchumba ambaye kwa uwezo wa mungu atakuja kuwa MKE In Sha Allah sifa nazozihitaji
1)awe muislamu
2)anaejistir kwa mavazi kuanzia kuchwani mpka miguuni
3) awe kasoma dini angalau hata kwa uchache
4) awe anasali sala tano kama hasali ntamfundisha
5)awe mrefu rangi sichagui kabila pia sichagui hata akiwa albino in sha Allah yote mipango ya Allah
Sifa Zangu. .
1) mm ni Fundi allminium
2)na nmejiajiri nina saloon za kiume mbili nmepanga riziki mungu anasaidia kwa mawasiliano PM najibu maswali zaidi
Wabillah Tawfik
Sent using Jamii Forums mobile app
Madame kwani hivo vigezo hinavyo??Inshaallah, kwa uwezo wa Allah akupe hitaji la moyo wako
Mimi nina mtu tayar
Unahitaji mwenye UKIMWI mwenzio au unataka ukaambukize dada zetu?Assalam alaykum wana JF naitwa Nasry natokea Morogoro natafuta mchumba ambaye kwa uwezo wa mungu atakuja kuwa MKE In Sha Allah sifa nazozihitaji