NATAFUTA MKE..

Bedui la bongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
297
Reaction score
306
Assalam alaykum wana JF naitw
a Nasry natokea Morogoro natafuta mchumba ambaye kwa uwezo wa mungu atakuja kuwa MKE In Sha Allah sifa nazozihitaji

1)awe muislamu

2)anaejistir kwa mavazi kuanzia kuchwani mpka miguuni

3) awe kasoma dini angalau hata kwa uchache

4) awe anasali sala tano kama hasali ntamfundisha

5)awe mrefu rangi sichagui kabila pia sichagui hata akiwa albino in sha Allah yote mipango ya Allah


Sifa Zangu. .
1) mm ni Fundi allminium

2)na nmejiajiri nina saloon za kiume mbili nmepanga riziki mungu anasaidia kwa mawasiliano PM najibu maswali zaidi


Wabillah Tawfik

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…