Natafuta mke

Mkuu kwani ni maamuzi!, ni maumbile kutoka Kwa Mungu [emoji3]
Hahaha basi nyie ndo wake wzuri maana Masofa hayaishi mapema wala godoro halitochoka mapema !!

Kumbe hata godoro.lapamba linafaaa....et ?? Mlio Flat mnafanya Saman za ndani zidumu sanaa kwakua hazikandamizwi sana[emoji23][emoji23]
 
Hapana hao km akina Sanchi hapana, Huwa km wanasumbua na wengi wao huwa hawajielewi,Nataka Asiwe flat kbs yaani kashepu kaonekane ht km ni kadogo inatosha
 
Mkee aukotwi mke anatafutwa unabidi kushinda upendo wake kwako , ili akuchague wewe, wanawake wanapenda kujiona wa thamani hasa anapochaguliwa kutoka katika walio wengi , mwanamke gani anayependa kujipeleka mwenyewe kwako , kesho umwambie ulinishobokea mwenyewe!
 
Very very true mkuu
 
[emoji6]ujumbe umefika wakat nishajipeleka tayari.... Subiri nikasitishe
 
[emoji6]ujumbe umefika wakat nishajipeleka tayari.... Subiri nikasitishe
Wew shauri yako jipeleke tu wanaume hatuamini kuokota dodo kwenye mwarobaini , yaani mwanaume demu ambaye akumtongoza mwenyewe ni sawa na ajari , kwanza yeye mwenyew atafikilia kama huyu demu ameweza kufanya hiv kwangu je , ni wangapi alishawai kujipeleka kwao ,
 
[emoji3]point taken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…