Natafuta mke

Natafuta mke

Shabra

New Member
Joined
Oct 21, 2018
Posts
4
Reaction score
6
Umri: awe kuanzia miaka 25 na kuendelea, na asiwe na mtoto, asiwe mnene sana, rangi yoyote.

Dini: awe muislamu kwakua mimi pia ni muislamu

Elimu: kuanzia kidato cha nne hadi chuo kikuu, Sio lazima awe na Kazi Na akiwa ni mwajiriwa awe anafanya kazi mikoa ya Tanga,Kilimanjaro au Arusha

Mimi nina miaka 30,Elimu-chuo kikuu, na Ni Mwajiriwa serikalini.

Mwanamke aliyetayari aje PM.
 
Asante kamanda, ila sijapata PM hadi sasa inamaana hawa akina dada humu wote wameolewa?
Wengine sisi wanene
Tuna vitambi ndo maana tumekaa kimya

Wasubiri watakuja tu mkuu
 
Back
Top Bottom