Jamani nyie wenyewe mnajua maisha ya usingo yanavyochosha na umri nao unavosogea so mie nimeona sasa nitafute mke.
Kwanza kabisa mie umri ni VERY LATE TWENTY
Elimu yangu ni diploma ya sheria.
Nimeajiriwa katika ki aasisi fulani (sio mfanyabiashara).
Dini yangu Mkristu.
Sivuti sigara wala bangi, sinywi POMBE
Aiseee mi mweusi (unaetaka white man shakukosa najua).
Vigezo nnavotaka
Mwanamke asiwe mfupi sanaaaa
Kama una mtoto basi awe anakaa kwa baba ake au bibi ake.
Sichagui dini.
Elimu yoyote ile ila angalau darasa la saba itapendeza.
Awe ana jishughulisha sio goli kipa.
Kama una vigezo njoo pm tuzungumze.