Natafuta mke

chineke_2016

Member
Joined
Jan 20, 2019
Posts
43
Reaction score
52
Habarini zenu mimi naitwa SEME nipo makete natafuta mke wa kuoa sifa :-
-Awe na hofu ya mungu
-Awe na chura aka mzigo
-Awe na swaga kali kwa maana me naendaga maeneo nakutana na watu wa maana.
-Elimu ya kidato cha nne.
-Awe na kazi sitaki kuombwa hela
-Asiwe na bwawa
-Asiwe singo maza
-Awe mweupe.
-Asiitwe happy au rozi hawa waliwahi nisaliti.
Kwa mawasiliano njoo pm hapo chini ni picha yangu.
 
Nenda kanisani au msikitini....
 
Eeeeh hutaki kumpa pesa mkeo unamaanisha ajihudumie mwenyewe!?? Hakuna mwanaume hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…