hb81 JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 289 Reaction score 180 Jun 29, 2019 #1 Aslm alykm natafuta mke wa kuowa awe na umri kati ya miaka 30 hadi 25 umri wangu miaka 36 dini muislam na yeye awe muislam kabila asiwe mchaga tabia nzuri hata kama ana mtoto mmoja sio mbaya alie tayari aje dm pia awe tayari kuishi.moshi
Aslm alykm natafuta mke wa kuowa awe na umri kati ya miaka 30 hadi 25 umri wangu miaka 36 dini muislam na yeye awe muislam kabila asiwe mchaga tabia nzuri hata kama ana mtoto mmoja sio mbaya alie tayari aje dm pia awe tayari kuishi.moshi
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 6,438 Reaction score 10,180 Jun 29, 2019 #2 Heeeh! Unaishi Moshi lkn hutaki mchaga!!???
hb81 JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 289 Reaction score 180 Jun 29, 2019 Thread starter #3 tracebongo said: Heeeh! Unaishi Moshi lkn hutaki mchaga!!??? Click to expand... Ndio kwa kuwa wanamambo yao ambayo kidogo ni.magumu kwa makabila mengine
tracebongo said: Heeeh! Unaishi Moshi lkn hutaki mchaga!!??? Click to expand... Ndio kwa kuwa wanamambo yao ambayo kidogo ni.magumu kwa makabila mengine