P P.hunter Member Joined Nov 16, 2015 Posts 74 Reaction score 27 Nov 3, 2019 #1 Wadau mambo vp...NajitokeZa apa Kutafuta Mchumba ambae badea kama mambo yakikaa sawa Aje kua Mke wangu kipenzii...Me ni Mtumishi wa umma, Umri wangu ni 26.....Sifa za Ninaemtafuta ni umri ambao ni chini ya 26...Asantenii
Wadau mambo vp...NajitokeZa apa Kutafuta Mchumba ambae badea kama mambo yakikaa sawa Aje kua Mke wangu kipenzii...Me ni Mtumishi wa umma, Umri wangu ni 26.....Sifa za Ninaemtafuta ni umri ambao ni chini ya 26...Asantenii
Goddess JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 7,397 Reaction score 25,806 Nov 4, 2019 #2 Mke au mchumba na mambo yakikaaa sawa yasipokaa sawa ss?
P P.hunter Member Joined Nov 16, 2015 Posts 74 Reaction score 27 Nov 5, 2019 Thread starter #3 preciousrabbit said: Mke au mchumba na mambo yakikaaa sawa yasipokaa sawa ss? Click to expand... Yasipokaa sawa it means hakuna maridhiano kati ya pande mbili kwahyo hakuna muendelezo
preciousrabbit said: Mke au mchumba na mambo yakikaaa sawa yasipokaa sawa ss? Click to expand... Yasipokaa sawa it means hakuna maridhiano kati ya pande mbili kwahyo hakuna muendelezo
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Nov 5, 2019 #4 Ukipata wengi tugawane