Natafuta mke

mcrounmj

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2016
Posts
380
Reaction score
889
Matumaini yangu kuwa mu_buheri wa afya, hata kwa wale ambao kwao siku imekuwa nzito muumba atawajaza wepesi.

Bila kupoteza muda nilejelee maada husika. Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia 26 hadi 31, awe committed na ndoa mwenye hofu ya mungu, dini yoyote, kabila lolote na elimu angalau kuanzia kidato cha NNE na kuendelea, asiwe amewahi kuolewa au kuzaa kwani hata mimi sina motto wala sijawahi kuoa.

Umbo la mwili sio kigezo sana ili mradi tu kasura ka kuvutia.
Kuhusu Mimi, nina umri wa early 30's, nimejiajiri, niko financially at least stable japo mapambano bado yanaendelea, elimu yangu ni ya chuo.

Kwa mwanamke yeyote mwenye kuwa na sifa tajwa plz njoo pm.

Nawasilisha
 
@mcrounmj,Utaoajw dini yoyote wewe???

Af hamuongopi UKIMWI naskia Jf umejaa hatari[emoji16]
 
Ukimwi upo popote iwe mtaani ama jamii forum, afu kitu watu mnasahau no kwamba watu wa jf ndo hawa tunakutana nao kwenye maisha yetu ya kila siku, sema jf ni uwanja ambao unakutanisha watu wa rika, maeneo, kabira, na hulka tofauti
Utaoajw dini yoyote wewe???

Af hamuongopi UKIMWI naskia Jf umejaa hatari[emoji16]
 
We Dada kama tapeli disaini ivi, maana nimefuatilia reply zako kwa wanaotafuta wake wa kuoa umejitokeza mapema kuwa uko tayari. Ni kama unawakejeli watu wenye shida zao afu namba ya simu uliyoweka hapo siyo yako. Elewa tu kuwa jf siyo kama wewe unavyoichukulia poa, ina msaada mkubwa wa kuwakutanisha watu walio serious na wameweza ku go hatua nyingine ya maisha. Eshimu hisia za watu, eshimu jamvi hili ili malengo ya waliowaza kulianzisha yatimie.
 
Anatafutwa mwanamke wa kuowa sio wa kuchepuka naye kwahiyo zote zitafutwa ikiwemo pamoja na kupima afya kwahiyo usiwaze ikiwa uko tayari wewe jitokeze tu
@mcrounmj,Utaoajw dini yoyote wewe???

Af hamuongopi UKIMWI naskia Jf umejaa hatari[emoji16]
 
Hii sura imenikosesha credit,nilikua nakuja pm aisee,nilivosikia "kasura ka kuvutia" aah,nimerudii. Kila rakheri mkuu
 
Hii sura imenikosesha credit[emoji30] ,nilikua nakuja pm aisee,nilivosikia "kasura ka kuvutia" aah,nimerudii. Kila rakheri mkuu
 
Aisee..sifa zote ninazo..Mungu anipe Nini tena..!!!..ila hapo kwenye sura[emoji848][emoji23][emoji23]
 
Duuuh najuta kuchelewa kuijua jf. Yan ni raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…